watermark logo

Up next


It's Deco-Hapo(Official Music Video)

3 Streams
Hotney
5
Published on 08/04/24 / In Afrobeats / Rap

Hapo is a swahili word meaning "There"
it's used in the song to signify the dj not to interfere with the playing song in the party

Video directed by Sil
Production manager @caras_song
Production company @bigdreamsstudios
Audio by water_musiq
Executive producer @mainswitchproduction


Special thanks to
Academic&Entertainment Ministers M.K.U 2024
Favour Manuel
Coach Mackenzie
Lavin
Lillian
Dj Redgie
Street Vybez TV Family & Kasaboss

Lyrics,

Deco Deco Deco
Water mmh
Wikendi imefika mood iko set
Mbogi ya sherehe ndo watu nimetext
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki hapo wapi hapo
Wapi hapo wapi hapo
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki

Simu aside hakuna calls nashika
Huku ni kukata nashots na kukatika
Sherehe haianzi kama mabigy hajafika
Chorea lightweight hatutaki watu wa kutapika

Ziimenyc kila kitu naona funny
Kumeshika sivenye nilidhani
Kama hauna doh acha ku order jamani
Tutakupigia picha tupeperushe hewani

Under age baki mtaa ukisoma
Huwezi kam kunavile utachoma
Mpoa wako mwache si tutakulindia boma
Masaa ikifika tunachoma na ngoma

Dj cheza na
Ngoma ibambe na
Huku machupa tunafungua kama opener
Tunazitoka mbaka tutoe baridi
Bila dooh usikuje utaonyeshwa kipindi

Wikendi imefika mood iko set
Mbogi ya sherehe ndo watu nimetext
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki hapo wapi hapo
Wapi hapo wapi hapo
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki

Ngoma imepause nishacheza na Selector
Wenye wajachanga doh ndo wa kwanza kuteta
Nimepata sponyo kazi tuu ni kumpepeta
Warembo naita barua vile tuu wanaji leta

Pesa kupata tapata naita potea
Mpoa flani amenibamba ninaotea
Form imejipa taxi tu ndo nangojea
Dj cheza ngoma moja yenye mbogi imezoea

Ati ngoma ibaki hapo hapo
Kila mtu solo yani sako kwa bako
Mziki imeshika dj cheza na vako
Ukizima kwa sherehe tutapita na wako

Sherehe imebamba basi unaeza ask them
Mbona nichill na vile tukona magaldem
Huku kumenice mzinga na mandem
Ngoma imebamba dj amecheza anthem



Wikendi imefika mood iko set
Mbogi ya sherehe ndo watu nimetext
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki hapo wapi hapo
Wapi hapo wapi hapo
Leo ni kujibamba lazima tuta flex
Na Ngoma ikishika dj asicheze next
Nataka ibaki

Show more
0 Comments sort Sort By

Up next