Jux - Si Mimi (Official Audio)[Visualizer]
Jux - Si Mimi (Visualizer) ЁЯО╢ЁЯМ╣
The highly anticipated visualizer for #SiMimi by Jux is finally here! This emotional and heartfelt song is the first track from his upcoming EP, setting the tone for whatтАЩs to come.
ЁЯОе Shot by: Director Kenny
ЁЯУН Location: Dar es Salaam, Tanzania
ЁЯОм Produced by: Verse Network Tanzania
ЁЯО╢ Song Produced by: S2Kizzy Zombie
This video brings to life the real story of JuxтАЩs wedding and second engagement with Priscy, who is now officially his wife! тЭдя╕ПтЬи The visualizer features some of TanzaniaтАЩs biggest celebrities, as well as special appearances from Nigerian stars!
ЁЯФе Stream & Download тАЬSi MimiтАЭ Here:
ЁЯОз Smart Link: https://africori.to/simimi
DonтАЩt miss outтАФwatch, enjoy, and share!
┬й 2025 AFRICAN BOY REC
Jux - Si Mimi Lyrics
Heyyyy Yee
Yeyi Yeee
Eh Nitazunguka dunia
Nitangaze sifa zako, Uzuri wako
Siwezi fanya siri
Wanibebeshe gunia
Na zote dhambi zako, Sumu yako
Imetawala mwili
Pre Chorus
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu
Chorus
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Eeeehh
Oooh
Aaah
We ndo daktari
Mponya maradhi, Yani kama zali
Zali la mentali
Nakupenda kweli
Hilo liko wazi, Jua ukinitupa
Utaniachia simanzi
Pre Chorus
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu
Chorus
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
ЁЯФФ Subscribe for more:
ЁЯСЙ YouTube: http://youtube.com/@versenetworktz
ЁЯУ╕ Instagram: http://instagram.com/versenetworktz
ЁЯО╡ TikTok: http://tiktok.com/@versenetworktz
#SiMimi #Jux #ADayToRemember